Habari za Punde

CCM YAPOKEA UJUMBE MZITO KUTOKA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA CHINA, LEO

Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo, akizungumza na Balozi wa China hapa nchini Dk. Lu Younqing wakati wakisubiri kupokea ujumbe wa watu 19, wakiongozwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Guo Jialong, kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jjini Dar es Salaam, leo.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo (kulia), akiongozana na Balozi wa China hapa nchini Dk. Lu Younqing (katikati) kwenda kuupokea ujumbe wa watu 19, wakiongozwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Guo Jialong, kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jjini Dar es Salaam, leo.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo, akimpokea Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha kikomunisti cha China (CPC) Guo Jialong, kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jjini Dar es Salaam, leo.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo, akimpokea Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha kikomunisti cha China (CPC) Guo Jialong, kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jjini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo, akiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha kikomunisti cha China (CPC) Guo Jialong, baada ya kumpokea kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jjini Dar es Salaam, leo. 
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo, akimsindikiza Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha kikomunisti cha China (CPC) Guo Jialong (kushoto), kwenda kwenye gari, baada ya kumpokea kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jjini Dar es Salaam, leo.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisti cha China, Guo Jialong akipanda katika gari. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo akiingia kwenye gari alilopanda Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Guo Jialong, kumpeleka kwenye Chumba cha Mapumziko cha watu mashuhuri, kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, kabla ya kumpeleka hotelini.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CPC, Jialong akipewa saluti na Mwabata wa Ubalozi wa China, alipokuwa akienda kwenye chumba cha mapumziko cha watu mashuhuri kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, baada ya kuwasili nchini leo.
Wakienda kwenye chumba cha mapumziko cha watu mashuhuri kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Mpogolo na mgeni wake wakiingia kwenye Chumba cha mapumziko cha watu mashuhuri kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere. Katikati ni Balozi wa China hapa nchini.
Wakiwa katika mazungumzo mafupi kwenye chumba cha watu mashuhurikwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere kabla ya mgeni huyo kupelekwa hotelini kupumzika.
Magari yakiwa yamejipanga tayari ka safari ya kuupeleka ugeni huo wa CPC kwenda hotelini.
Gari la Mjumbe wa Kamati Kuu ya CPC likiwa tayari kumchukua mgeni huyo kwenda hotelini.
Mumbe wa Kamati Kuu ya CPC, Guo Jialong, akiwasalimia baadhi ya maofisa wa Wizara ya Mambo ya Nje, alipowasili hotelini kwa ajili ya mapumziko. Nyuma yake ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo.
Baadhi ya maofisa wakati mgeni akisindikizwa kwenda hotelini
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo na Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga, wakiagana na mgeni wao baada ya kumfikisha hotelini.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo akizungumza na waandishi wa habari waliotaka kujua kiini hasa cha ziara ya ugeni huo kutoka CPC. Picha zote na Bashir Nkoromo

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.