Habari za Punde

EMMANUELA MTATIFIKOLO KAGANDA ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI

Emmanuela Mtatifikolo Kaganda, mmoja wa wagombea ubunge katika Bunge la Afrika Mashariki akikabidhiwa fomu na Bw. Said Bakari wa Idara ya Uhusiano wa kimataifa katika makao makuu ya CCM mtaa wa Lumbumba jijini Dar es salaam.
Emmanuela Mtatifikolo Kaganda, mmoja wa wagombea ubunge katika Bunge la Afrika Mashariki akitoka nje baada ya kukabidhiwa fomu za kugombea nafasi hiyo makao makuu ya CCM mtaa wa Lumbumba jijini Dar es salaam. Bi Kaganda alifika hapo akiwa peke yake na bila mbwembwe akiwa na imani kwamba dhamira yake ya kusimamia na kutetea maslahi ya kina mama na watoto katika jamii ni agenda yake itayomsimamia katika kinyang'anyiro hicho.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.