Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO

MCHORAJI aliyejitambulisha kwa jina la Waa Sigana, akichora katika Bampa la Pikipiki kama alivyokutwa na mpiga picha nje ya Ofisi yake iliyopo pembezoni mwa mto Msombazi. Sigana huchora kila Bampa moja kwa Sh. 5000.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.