Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO, DARAJA LALIKA KWA MVUA

 Daraja lililopo Mtaa wa Magomeni Mzimuni  jijini Dar es Salaam,likiwa limelika kwa maji ya mvua iliyonyesha jijini jana na kusababisha  baadhi ya maeneo ya jiji kuathirika kwa mafuriko. Wakazi wa eneo hilo wamelalamikia wakandarasi waliojenga darajja hilo kwa kujenga bila kufuata njia ya maji ambapo kila mvua zinaponyesha maji  hufuata njia zake na kushindwa kupita katika tundu husika ambalo ni moja na huzidiwa. 
Barabara inayounganisha daraja hilo ikiwa imelika kutokana na maji ya mvua zilizonyesha jijini Dar es Salaam jana. Picha na Muhidin Sufiani (MAFOTO) 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.