Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO 'WANAFUNZI NA VIROBA VYA MAJI'

 Mwanafunzi wa Kidato cha kwanza Shule ya Sekondari Hananasifu, aliyejitambulisha kwa jina la Khalid Omary, akijipoza kwa maji ya ‘Kandolo’ kama alivyokutwa na mpiga picha eneo la Hananasifu Kinondoni jijini Dar es Salaam, hivi karibuni 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.