Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO, UJENZI WA BARABARA ZA JUU TAZARA

 Nguzo ikiwa tayari imeoteshwa kuelekea ujenzi wa Barabara za juu (Fly Over) za Tazara jijini Dar es Salaam. 
Ujenzi ukiendelea wa Barabara za juu eneo la Tazara ukiendelea ambapo tayari mafundi wamekwishaotesha Nguzo kadhaa kama inavyoonekana pichani. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.