Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO, VIJANA WASIOJALI MAISHA YAO

Wafanyabiashara ndogondogo almaarufu Machinga wakiwa wamening’inia nyuma ya gari la mafuta wakati likiwa katika mwendo kama alivyokutwa na Kamera ya Mafoto katika Barabara ya Mandela jijini Dar es Salaam, jambo ambalo ni hatari kwa maisha yao.  
Mfanyabiashara ndogondogo almaarufu Machinga akining’inia nyuma ya gari la mafuta wakati likiwa katika mwendo , jambo ambalo ni hatari kwa maisha yake.  Picha na Muhidin Sufiani (MAFOTO)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.