Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO, DEREVA HUYU AKIADHIBIWA AMEONEWA???

Askari wa Usalama Barabarani, akimhoji dereva mwanamama aliyekuwa akitanua kukwepa foleni iliyokuwa ndefu katika Barabara ya Goba eneo la Masana, Mbezi Beach leo. Dereva huyo alitanua na kujikuta akizuia magari yaliyokuwa yakiingia.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.