Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO,ATHARI ZA MVUA JIJINI DAR

Mpita njia akipita pembezoni mwa daraja la Tabata Matumbi, ambalo ukingo wake umelika na maji ya mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam, hali inayotishia kuanguka kwa ukuta ulio karibu na ukingo huo. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.