Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO MITAANI LEO

Baadhi ya wakinamama wakiwa nje ya Duka la vifaa vya michezo la Kassim Dewji lililopo Mtaa wa Jamhuri jijini Dar es Salaam. Madada hao hukusanyika kila asubuhi eneo hilo na kumsubiri bosi wao (mwenye kofia kibalaghashia) ili kuwagawia vibarua vya siku ama kuwakabidhi kwa mabosi wanaohitaji wafanyakazi wa ndani.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.