Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO MITAANI LEO

 Mafundi wakiwa kazini wakiendelea na ujenzi wa Miundombinu ya kubadili mabomba makubwa ya Maji taka katika Barabara ya Azikiwe Posta Mpya jijini Dar es Salaam kama walivyokutwa na kamera ya Mafoto Blog. 

Barabara ya Jamhuri inayoungana na Barabara hiyo kwa sasa imefungwa kupisha ujenzi huo. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.