Habari za Punde

KAMPUNI YA YARA TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA SACGOT KWA WAKULIMA JIJINI DAR

 Afisa Masoko  wa Kampuni ya Yara Tanzania, Linda Byaba (kushoto)  na Afisa Ugani Maulid Mkima (kulia) wakimwezea jambo mteja aliyetembelea katika Banda lao katika maonesho ya SACGOT kwa wakulima yaliyofanyika kwenye jengo la LAPF lililopo Makumbusho jijini Dar es Salaam, jana. 
 Wafanyakazi wa Yara wakikaribisha wageni katika Banda lao.
 Afisa Masoko wa Yara Tanzania, Linda Byaba akifanya maandalizi
 wakizungumza na wageni katika bandao lao

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.