Habari za Punde

KAMPUNI YA YARA TANZANIA YATOA ELIMU KWA MABALOZI MBALIMBALI KUHUSU MBOLEA YAO NA JINSI YA UOATIKANAJI WA MAZAO BORA

 Mkurugenzi  Mkuu wa Yara Tanzania, Alexandre Macedo, akitoa mada na kufafanua mambo mbalimbali kuhusu uandaaji wa mazao,utumiaji wa mbolea bora za Yara Tanzania,  wakati wa mafunzo kwa vitendo ya kiwanda cha Yara Tanzania na utendaji wake, yaliyoandaliwa na Kampuni ya Yara Tanzania kwa kushirikiana na SACGOT. Mafunzo hayo pia yaliwashirikisha  washiriki kutoka nchi mbalimbali wakiwemo Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao nchini kama Netherland, Uganda,Un na Norway.
 Balozi wa Norway Nchini, Hannie- Marie Kaarstad, akizungumza kwa niaba ya ubalozi na kuishukuru Kampuni ya Yara Tanzania kwa kuendelea  kubalidisha maisha ya wakulima wa tanzania kupitia elumu na usambazaji wa lishe ya mimea, wakati wa mafunzo kwa vitendo ya kiwanda cha Yara Tanzania na utendaji wake, yaliyoandaliwa na Kampuni ya Yara Tanzania kwa kushirikiana na SACGOT. Mafunzo hayo pia yaliwashirikisha  washiriki kutoka nchi mbalimbali wakiwemo Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao nchini kama Netherland, Uganda,Un na Norway.
Aidha baada ya mafunzo hayo washiriki hao walitembelea Kiwanda hicho kujionea shughuli zinazofanywa kiwanda hicho.
 Mtendaji mkuu wa SAGCOT, Geoffrey Kirega ,akitoa  utambulisho wa baadhi ya Viongozi waliohudhuria mafunzo hayo yaliyofanyika jana kwenye ofisi za Kiwanda hicho.
 Baadhi ya wafanyakazi wa Yara Tanzania, wakimsikiliza Mkurugenzi wakati akitoa mada katika mafunzo hayo.
 Mkurugenzi  Mkuu wa Yara Tanzania, Alexandre Macedo, akifafanua jambo kwa washiriki mbalimbali kutoka nchi tofauti wakiwemo mabalozi,wawakilishi wa UN, Norway, Netherland, Uganda na wakilishi wa SACGOT  kuhusu upimaji wa Udongo wakati wakitembelea kiwanda hicho.
 Wakitembelea kiwandani hapo
 Akifafanua jambo kwa washiriki hao
Jinsi mbolea ya Yara Tanzania inavyojazwa katika mifuko kiwandani hapo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.