Habari za Punde

KOCHA MAYANGA, WAZIRI MWAKYEMBE WAANZA VYEMA NA STARS

Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta, akishangilia bao lake la kwanza alilofunga katika dakika ya ya 2 kipindi cha kwanza kwenye mchezo wa kimataifa wa kirafiki baina ya Taifa Stars na Botswana uliomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Taifa. Katika mchezo huo Stars wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 yote yakifungwa na Mbawa Samatta la pili akifunga katika dakika ya 87.
Mbwana Samatta, akijaribu kuwatoka mabeki wa Botswana, na kuchezewa faulo iliyozaa bao la pili.
 Msuva akijaribu kuchanja mbuga.
 Kipa wa Botswana, Kabelo Dambe, akiruka kujaribu kuokoa mpira uliopigwa wa adhabu uliopigwa na Mbwana Samatta na kuandika bao la pili.
 Kipa wa Botswana, Kabelo Dambe, akigaagaa

 Kipa wa Botswana Kabelo Dambe,
 Beki wa Stars, Abdi Banda, akimzuia mshambuliaji wa Botswana, Tumisang Orebonye
Wachezaji wa Stars wakishangilia bao la Mbwana Samatta. 
KWA MATUKIO ZAIDI YA PICHA ZA MTANANGE HUU NA HABARI KAMILI KAA NASI HAPO BAADAYE.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.