Habari za Punde

MAKADA WA CCM WAWANIA UBUNGE EAC WARUDISHA FOMU

 Neema Bakari akisaini kurudisha Fomu za kuwania Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki, wakati aliporudisha fomu hizo Ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam, leo mchana. Kulia ni Katibu Msaidizi wa Organizasheni CCM, Said Is-Hak, akishuhudia. 
 Innocent Meleck, akisaini kurudisha Fomu za kuwania Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki, wakati aliporudisha fomu hizo Ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Msaidizi wa Organizasheni CCM, Said Is-Hak, akishuhudia.
 Innocent Meleck, akikabidhi Fomu kwa Katibu Msaidizi wa Organizasheni CCM, Said Is-Hak, za kuwania Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki wakati aliporudiasha fomu hizo kwenye Ofisi ndogo za CCM zilizopo Lumumba jijini Dar es Salaam. 
 Magreth John (kushoto) akisaini kitabu wakati akirejesha Fomu za kuwania Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki Ofisi Ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam, leo mchana. Kulia ni Katibu Msaidizi wa Organizasheni CCM, Said Is-Hak (wa pili kushoto) ni mume wa mgombea ambaye pia ni mgombea nafasi hiyo, James Mwanakatwe. 
 Jelad Budodi, akisaini kurudisha Fomu za kuwania Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki, wakati aliporudisha fomu hizo Ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Msaidizi wa Organizasheni CCM, Said Is-Hak, akishuhudia. 
 Dominic Nkolimwa, akisaini kurudisha Fomu za kuwania Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki, wakati aliporudisha fomu hizo Ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Msaidizi wa Organizasheni CCM, Said Is-Hak, akishuhudia. KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 Baadhi ya wagombea wanaowania nafasi ya Ubunge, Bunge la Afrika Mashariki, wakiwa katika foleni kusubiri kurudisha fomu katika Ofisi ndogo za CCM zilizopo Lumumba jijini Dar es Salaam
 Happiness Mgalula, akikabidhi Fomu za kuwania Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki kwa Katibu Msaidizi wa OrganizashenCCM,  Said Is-Hak,  wakati aliporudisha fomu hizo Ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam.
 Kilontsi Mporugonyi, akisaini kurudisha fomu.
 James Mwanakatwe, akisaini kurudisha fomu.
 Dkt. Kokel Melubo, akisaini kurudisha fomu.
 JoyhefsibaJuma Killo, akisaini kurudisha fomu.
 Mosess John Ntandu, akisaini kurudisha fomu.
 Sadick Abassy, akikabidhi fomu.
Nyange Mtoro Darabu, akisaini kurudisha fomu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.