Habari za Punde

MJUMBE WA CPC CHINA ATEMBELEA OFISI NDOGO ZA CCM MAKAO MAKUU LUMUMBA DAR LEO

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomonisti cha China (CPC) Guo Jinlong (kushoto) akisalimiana na Katibu wa Halmashauri Kuu CCM Taifa, Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole, wakati alipowasili Ofisi ndogo za CCM Makao Makuu Lumumba jijini Dar es Salaam, akiwa katika ziara yake nchini baada ya kutua akitokea Zanzibar kuonana na Rais Dkt. Shein. Katikati ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomonisti cha China (CPC) Guo Jinlong (kushoto) akizungumza jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo.
 Kutoka (kulia) ni Katibu wa Uchumi na fedha mpya CCM, Dkt. Frank Hawassi, Katibu wa Halmashauri Kuu CCM Taifa, Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole, na Ngemela Lubinga.
Ujumbe kutoka CPC
Kikao kikiendelea......
Kikaokikiendelea.....

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.