Habari za Punde

PAUL MAKONDA AFAANYA ZIARA YA KUKAGUA MAENEO YALIYOATHIRIKA NA MVUA VINGUNGUTI DAR

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akivuka katika Daraja la miti lililotengenezwa na wananchi wakati akiwa katika ziara yake ya kukagua athari za mvua maeneo ya Vingunguti leo mchana
Wakazi wa maeneo hayo wakivuka kidaraja kuelekea aliko Mkuu wa Mkoa
Makonda akiangalia baadhi ya nyumba zilizoathirika na mvua katika maeneo ya Bonde la Vingunguti.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.