Habari za Punde

PROF. LIPUMBA ATEUA VIONGOZI WAPYA NA WABUNGE WA EAC

 Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, akizungumza na waandishi wa habari Ofisi za Makao Makuu ya chma hicho zilizopo Buguruni jijini Dar es Salaam, leo wakati akitangaza maamuzi ya chama hicho na uteuzi wa baadhi ya Viongozi na kusisitiza hawatambui mamlaka ya Katibu Mkuu wa chama hicho Maalim Seif baada ya kuitwa mara kadhaa kuzungumza na wanachama katika ofisi hicho bila kufika. 
 Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, akisalimiana na baadhi ya wanachama wa CUF, baada ya kumaliza mkutano na waandishi wa habari. 
 Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, akisalimiana na baadhi ya wanachama wa CUF, baada ya kumaliza mkutano na waandishi wa habari.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.