Habari za Punde

PROF. NDALICHAKO AZINDUA BODI MPYA YA MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA (TEA)

Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako akiongea na wajumbe wa Bodi mpya ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) leo Jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi huo ambapo ameielekeza Bodi hiyo kutekeleza miradi Kwa wakati.
 Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako akimkabidhi mmoja wa wajumbe wapya wa Bodi ya Elimu Tanzania (TEA), Gerald Mweli mwongozo wa kutekeleza majukumu ya bodi.
Wajumbe wa Bodi ya Elimu Tanzania (TEA) pamoja na watendaji wa Mamlaka hiyo wakisikiliza hotuba ya Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza leo jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa Bodi hiyo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.