Habari za Punde

RAIS DKT MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KWA FAMILIA KUFUATIA KIFO CHA BALOZI SIR GEORGE KAHAMA

Balozi,Sir George Kahama enzi za uhai wake,ambaye amefariki leo alasiri katika hospitali ya Taifa Muhimbili,alikokuwa amelazwa kwa matibabu.Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahali pema peponi-Amen.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.