Habari za Punde

RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA SINGAPORE

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na  Balozi wa Singapore katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Tan Puay Hiang alipofika Ikulu Mjini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na  Balozi wa Singapore katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Tan Puay Hiang alipofika Ikulu Mjini Unguja leo. Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.