Habari za Punde

SEIF KHATIB AKABIDHI OFISI LEO CCM

 Aliyekuwa Katibu wa Siasa na Organization wa CCM Taifa, Seif Khatib (kulia) akimkabidhi  Hati za makabidhiano ya Vifaa, Mali na Majukumu ya Chama Idara ya Organization, Pereira Silima, wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika kwenye Ofisi ndogo za CCM Lumumba jijijini Dar es Salaam, jana. Katikati ni Mkuu wa Idara ya Siasa na Organization UVCCM Taifa, Pili Augustino (katikati) akishuhudia. 
 Aliyekuwa Katibu wa Siasa na Organization wa CCM Taifa, Seif Khatib (kulia) akimkabidhi  Kanuni ya Umoja wa Vijana wa CCM Katibu mpya wa Idara ya Organization hiyo, Pereira Silima, wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika kwenye Ofisi ndogo za CCM Lumumba jijijini Dar es Salaam, jana. Katikati ni Mkuu wa Idara ya Siasa na Organization UVCCM Taifa, Pili Augustino (katikati) akishuhudia.
 Aliyekuwa Katibu wa Siasa na Organization wa CCM Taifa, Seif Khatib (kulia) akimkabidhi  Funguo za Ofisi Katibu mpya wa Idara ya Organization hiyo, Pereira Silima, wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika kwenye Ofisi ndogo za CCM Lumumba jijijini Dar es Salaam, jana. Katikati ni Mkuu wa Idara ya Siasa na Organization UVCCM Taifa, Pili Augustino (katikati) akishuhudia. 
Wakitiliana sanini hati za makabidhiano

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.