Habari za Punde

SEMINA ELEKEZI KUHUSU MAGEUZI NDANI YA CHAMA KWA WENYEKITI NA MAKATIBU WA CCM WA MIKOA NA WILAYA YAENDELEA LEO MJINI DODOMA

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwasili ukumbini na viongozi wengine wa meza kuu tayari kuendelea na siku ya pili ya semina elekezi kwa Wenyekiti na Makatibu wa CCM wa mikoa na wilaya nchini, kuhusu mageuzi na mabadiliko ndani ya Chama, leo katika Ukumbi wa Ofisi ya Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Washiriki wa semina hiyo wakiwa wamesimama kumlaki Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana na viongozi wengine wa meza kuu.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa CCM-Zanzibar, Vuai Ali Vuai, baada ya kuwasili ukumbini. Wapili kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo na kulia ni Katibu wa NEC Oganaizesheni Lela Ame Silima.
Katibu Mkuu wa CCM,Abdulrahman Kinana akifungua kuendelea kwa siku ya pili kwa semina hiyo. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiendelea kuongoza semina hiyo. Kushoto ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ngemela Lubinga, Naibu Katibu Mkuu wa CCM- Zanzibar Dk. Abdallah Juma Abdallah, na Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa CCM-Zanzibar Vuai Ali Vuai na kulia ni Katibu wa NEC Oganaizesheni Lela Ame Silima, Katibu wa NEC Oganaizesheni mstaafu Mohammed Seif Khatib na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo.
Semina ikiendelea
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiendelea kuongoza semina hiyo. Kushoto ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ngemela Lubinga, Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Zanzibar Dk. Abdallah Juma Abdallah, Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa CCM-Zanzibar Vuai Ali Vuai na kulia ni Katibu wa NEC, Oganaizesheni Lela Ame Silima, Katibu wa NEC Oganaizesheni mstaafu Mohammed Seif Khatib na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo.
Sekretarieti ya semina hiyo wakiwa kazini
Sekretarieti ya semina hiyo wakiwa kazini
Wajumbe kwenye semina hiyo
Maofisa waandamizi wa CCM wakifuatilia hali ya mambo kwenye semina hiyo 
Mshiriki akipata habari motomoto na za uhakika kwenye gazeti la uhuru wakati akiwa kwenye semina hiyo
Mshiriki akipitia Kitabu cha Mabadiliko ya Katiba ya CCM na kanuni zake, wakati akiwa kwenye semina hiyo
Katibu wa seretarieti ya CCM, Anamringi Macha akimsalimia Ofisa Mwandamizi wa Chama, ukumbini
Mmoja wa washiriki wa semina hiyo ndugu Vyohoroka, akisalimia washiriki wenzake ukumbini. Kulia ni Kaimu Katibu Mtendaji wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu-CCM, Daniel Zenda.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.