Habari za Punde

SIKU YA PILI YA MAFUNZO YA TAASISI YA 'THE FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY' KWA WANA ASASI ZA KIRAIA

 Mwezeshaji, Silas Mwakibinga, akiendesha mafunzo ya kujenga uwezo wa Asasi kwa washiriki kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania Bara na Visiwani, kuhusu kuboresha usimamizi na utekelezaji wa Mradi, Matumizi ya fedha za mradi. Mafunzo hayo ya siku tatu yaliyoandaliwa na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya The Foundation Civl Society, yanafanyika kwenye Hoteli ya Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-(MAFOTO)
Washiriki wakifuatilia kinachofundishwa na mwezeshaji ukumbini hapo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.