Habari za Punde

SIKU YA TATU YA MAFUNZO YA TAASISI YA 'THE FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY' KWA WANA ASASI ZA KIRAIA

Mwezeshaji, ambaye ni Meneja wa Programu wa FCS, Francis Uhadi, akiendesha mafunzo kwa Wana Asasi za kiraia kuhusu Kutambua na kuvuna matokeo ya Miradi,wakati wa mafunzo hayo ya siku tatu yaliyoandaliwa na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya The Foundation For Civil Society, yaliyomalizika   kwenye Hoteli ya Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam, leo. Picha na Muhidin Sufiani (MAFOTO) 
 Baadhi ya washiriki wakifuatilia mafunzo hayo
 Baadhi ya washiriki wakifuatilia mafunzo hayo
 Baadhi ya washiriki wakifuatilia mafunzo hayo
 Baadhi ya washiriki wakifuatilia mafunzo hayo
 Baadhi ya washiriki wakifuatilia mafunzo hayo
 Mshiriki (kulia) akichangnua jinsi alivyoelewa somo kwa mwezeshaji
 Washiriki wakipata kifungua kinywa.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.