Habari za Punde

SIKU YA WANAWAKE DUNIANI WAZIRI KAIRUKI, UWT WAFANYA USAFI NA KUTOA MSAADA HOSPITALI YA MUHIMBILI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Angela Kairuki (wa tatu kulia) akishiriki kufanya usafi wa mazingira na baadhi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Muhimbili, wakati walipofika Hospitalini hapo kufanya usafi na kutoa msaada wa vitu mbalimbali ikiwa ni maadhimisho ya Siku ya Mwanamke Duniani iliyoadhimishwa jana duniani kote. Waziri Kairuki kwa kushirikiana na Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) walitoa msaada wa vitu mbalimbli vyenye thamani ya Sh. Milioni katika wodi ya wazazi ya watoto Njiti.  
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Angela Kairuki (wa tatu kulia) akimkabidhi sehemu ya vitanda vya wagonjwa Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi wa Hospitali ya Muhimbili, Agness Mtawa, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mwanamke Duniani iliyoadhimishwa jana duniani kote. Waziri Kairuki kwa kushirikiana na Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) walitoa msaada wa vitu mbalimbli vyenye thamani ya Sh. Milioni katika wodi ya wazazi ya watoto Njiti. 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Angela Kairuki (kushoto) akiongozana na Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi wa Hospitali ya Muhimbili, Agness Mtawa, wakielekea kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa wagonjwa katika Wodi ya wazazi ya watoto Njiti wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mwanamke Duniani iliyoadhimishwa jana duniani kote. Waziri Kairuki kwa kushirikiana na Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) walitoa msaada wa vitu mbalimbli vyenye thamani ya Sh. Milioni katika wodi ya wazazi ya watoto Njiti. 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Angela Kairuki, akimkabidhi  Mariam Masoud Mkazi wa Ubungo aliyelazwa Hospitali ya Muhimbili aliyejifungua mtoto Njiti, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mwanamke Duniani iliyoadhimishwa jana duniani kote. Waziri Kairuki kwa kushirikiana na Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) walitoa msaada wa vitu mbalimbli vyenye thamani ya Sh. Milioni katika wodi ya wazazi ya watoto Njiti. 
 Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi wa Hospitali ya Muhimbili, Agness Mtawa, akikabidhi msaada kwa mmoja kati ya kina mama waliojifungua watoto Njiti.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Angela Kairuki, akimkabidhi  Pamfilina Masawe, Mkazi wa Mkoani Kilimanjaro, aliyelazwa Hospitali ya Muhimbili aliyejifungua mtoto Njiti, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mwanamke Duniani iliyoadhimishwa jana duniani kote. Waziri Kairuki kwa kushirikiana na Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) walitoa msaada wa vitu mbalimbli vyenye thamani ya Sh. Milioni katika wodi ya wazazi ya watoto Njiti. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.