Habari za Punde

TAASISI YA 'THE FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY' YATOA MAFUNZO KWA WANA ASASI ZA KIRAIA

 Ofisa Program wa Idara ya Kujenga uwezo wa Asasi kutoka Taasisi isiyo ya Kiserikali ya The Foundation For Civil Society, Nasimi Losai, akifafanua jambo kwa washiriki wa mafunzo ya siku tatu yaliyoandaliwa na Taasisi hiyo kuhusu kuboresha usimamizi na utekelezaji wa Mradi, Matumizi ya fedha za mradi, yaliyoanza leo katika Hoteli ya Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. Washiriki wa mafunzo hayo wanatoka katika mikoa mbalimbali ya Tanzania Bara na Visiwani. 
 Baadhi ya washiriki wakifuatilia mafunzo hayo kwa makini
  Baadhi ya washiriki wakifuatilia mafunzo hayo kwa makini
 Ofisa wa Taasisi hiyo, Nicolaus Mhozya, akiandaa somo lake kupitia Power Point, wakati wa mafunzo hayo.
Ofisa wa Taasisi hiyo, Nicolaus Mhozya, akiwasilisha somo lake kwa washiriki hao.
  Baadhi ya washiriki wakifuatilia mafunzo hayo kwa makini
  Baadhi ya washiriki wakifuatilia mafunzo hayo kwa makini
  Baadhi ya washiriki wakifuatilia mafunzo hayo kwa makini
  Baadhi ya washiriki wakifuatilia mafunzo hayo kwa makini
 Mwezeshaji, Daniel Mvella, akiendesha mafunzo hayo
 Ofisa Programu wa Taasisi hiyo, Nicolaus Mhozya, akiweka mabo sawa wakati wa mafunzo hayo.
  Baadhi ya washiriki wakifuatilia mafunzo hayo kwa makini
  Mshiriki akichangia baada ya mafunzo hayo wakati wa majadiliano.
 Maofisa, Wawezeshaji na washiriki wakiwa katika picha ya pamoja

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.