Habari za Punde

TANGAZO LA KUPOTEA KWA KIJANA ERICK RAPHAEL MSYALIHA ,ANATAFUTWA NA NDUGU ZAKE


Pichani ni Kijana anayefahamika kwa jina la ERICK RAPHAEL MSYALIHA anayeishi Sinza-Mugabe ametoweka Ghafla Tarehe 13.03.2017 majira ya usiku alipochukuliwa na watu wasio famika akiwa mitaa ya nyumbani kwake. Mpaka sasa hajarejea nyumbani, hivyo anatafutwa na ndugu zake, Tunaomba yeyote atakayemuona au kupata Taarifa zake atujulishe kwa namba +255718105959 au atoe Taarifa katika Kituo cha Polisi kilicho jirani nae,Tunatanguliza Shukurani zetu

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.