Habari za Punde

TANZANIA YAPATA MKOPO WA BILIONI 109 KUJENGA BARABARA YA NYAHUA-CHAYA

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango (MB), (kulia), akipeana mkono na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Uchumi wa Kuwait Bw. Hamad Al-Omar (katikati), baada ya kubadilishana Hati ya Mkopo wa Sh. Bilioni 109.69 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Nyahua- Chaya yenye urefu wa Kilometa 84.5 kwa kiwango cha lami, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mipango (MB), (kulia) na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Uchumi wa Kuwait Bw. Hamad Al-Omar (kushoto), wakisaini mkataba wa makubaliano ya mkopo wa wa riba nafuu wa Sh. Bilioni 109.69 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Nyahua- Chaya yenye urefu wa Kilometa 84.5 kwa kiwango cha lami, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango jijini Dar es salaam..
 Baadhi ya wajumbe walioongozana na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Uchumi wa Kuwait Bw. Hamad Al-Omar (hayupo pichani) wakishuhudia utiwaji saini wa mkataba wa makubaliano ya mkopo wenye masharti nafuu wa Sh. Bilioni 109.69 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Nyahua- Chaya yenye urefu wa Kilometa 84.5 kwa kiwango cha lami, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango jijini Dar es salaam.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mipango (MB), (mbele kulia) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu umuhimu wa barabara ya Nyahua-Chaya, itakayojengwa kwa kiwango cha lami baada ya kupata fedha kutoka kwenye Mfuko wa Maendeleo ya Uchumi wa Kuwait.
Wajumbe kutoka Tanzania wakishuhudia utiwaji saini wa mkataba wa makubaliano ya mkopo wenye masharti nafuu wa Sh. Bilioni 109.69 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Nyahua-Chaya yenye urefu wa Kilometa 84.5 kwa kiwango cha lami, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango jijini Dar es salaam.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mipango (MB), (wa tatu kushoto) na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Uchumi wa Kuwait Bw. Hamad Al-Omar (katikati), wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi wa maafisa kutoka Kuwait na Tanzania, baada ya kusainiwa kwa mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu wa Sh. Bilioni 109.69 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Nyahua-Chaya, yenye urefu wa Kilometa 84.5 kwa kiwango cha lami katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango jijini Dar es salaam.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mipango (MB), (kulia) na wajumbe kutoka Kuwait wakijadili jambo baada ya kusainiwa kwa mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu wa  Sh. Bilioni 109.69 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Nyahua-Chaya, yenye urefu wa Kilometa 84.5 kwa kiwango cha lami, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango jijini Dar es salaam.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mipango (MB), (wa pili kulia) na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Uchumi wa Kuwait Bw. Hamad Al-Omar (wa pili kushoto) wakiondoka baada kusainiwa kwa mkataba wa mkopo wenye riba nafuu wa Sh. Bilioni 109.69 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Nyahua-Chaya yenye urefu wa Kilometa 84.5 kwa kiwango cha lami, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, jijini Dar es salaam. Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-WFM

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.