Habari za Punde

USIKU WA MISS PENDO KISAKA NA MWANAHABARI GEORGE BINAGI WAFANA

Juzi kuamkia jana jumamosi, ilikuwa ni siku muhimu kwa Malkia wa nguvu, Pendo Kisaka, ambapo ndugu, jamaa na marafiki zake walijumuika naye kwenye sherehe ya 'kumSendoff' kuelekea ndoa anayotarajiwa kufunga na mwanahabari/ mwanablogu, George Binagi, March 26,2017 Jijini Mwanza.
Shughuli hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Heinken, Mbagala Kijichi Jijini Dar es salaam. ndoa takatifu ya wawili hao ilitangazwa March 12,2017 kanisa la EAGT Lumala Mpya Jijini Mwanza.
Bibi harusi mtarajiwa akimvisha saa mumewe mtarajiwa

Bibi harusi mtarajiwa (kulia) na msimamizi wake (kushoto)
Bibi harusi mtarajiwa akiwakabidhi keki wazazi wake na kusema ahsante kwa malezi yenu bora.
Bibi harusi mtarajiwa, Pendo Kisaka (katikati), akimtambulisha mumewe mtarajiwa, George Binagi (kushoto)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.