Habari za Punde

VIONGOZI MBALIMBALI WAMFARIJI MKE WA MAREHEMU BALOZI SIR GEORGE KAHAMA,

 Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Mrisho Jakaya Kikwete, akisaini Kitabu cha maombolezo ya msiba wa marehemu Balozi Sir George Kahama, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Mikocheni jijini Dar es Salaam, leo mchana kwa ajili ya kutoa pole. Marehemu Kahama anatarajia kuzikwa Alhamisi wiki hii katika Makaburi ya Kinondoni. Kulia ni Mama Salma Kikwete. 
 Mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Mama Salma Kikwete, akisaini Kitabu cha maombolezo ya msiba wa marehemu Balozi Sir George Kahama, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Mikocheni jijini Dar es Salaam, leo mchana kwa ajili ya kutoa pole. Marehemu Kahama anatarajia kuzikwa Alhamisi wiki hii katika Makaburi ya Kinondoni. Kushoto  ni Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Jakaya Mrisho Kikwete. 
 Waziri Mkuu mstaafu wa zamani, Cleopa Msuya, akisaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa Balozi Sir George Kahama, wakati alipofika kutoa pole kwa wanafamilia nyumbani kwa marehemu Mikocheni jijini Dar es Salaam, leo mchana.
 Waziri wa zamani wa Kilimo na Chakula na Ushirika, Steven Wasira, akiwafariji wanafamilia wa marehemu Balozi Sir George Kahama, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Mikocheni jijini Dar es Salaam, leo mchana kwa ajili ya kutoa pole.
 Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Mrisho Jakaya Kikwete, akimfariji mke wa Marehemu Balozi Sir George Kahama, Janeth Kahama, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Mikocheni jijini Dar es Salaam, leo mchana kwa ajili ya kutoa pole. Marehemu Kahama anatarajia kuzikwa Alhamisi Wiki hii katika Makaburi ya Kinondoni. Kulia ni Mama Salma Kikwete. 
 Waziri wa zamani wa Kilimo na Chakula na Ushirika, Steven Wasira, akiwafariji wanafamilia wa marehemu Balozi Sir George Kahama, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Mikocheni jijini Dar es Salaam, leo mchana kwa ajili ya kutoa pole. 
 Waziri wa zamani wa Fedha, Bazil Mramba, akiwafariji wanafamilia wa marehemu Balozi Sir George Kahama, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Mikocheni jijini Dar es Salaam, leo mchana kwa ajili ya kutoa pole. 
 Waziri Mkuu mstaafu wa zamani, Cleopa Msuya, akimfariji mke wa marehemu Balozi Sir George Kahama, Janeth Kahama, wakati alipofika kutoa pole kwa wanafamilia nyumbani kwa marehemu Mikocheni jijini Dar es Salaa.
 Mama Janeth Kahama, akiwa na huzuni wakati wa shughuli za msiba huo.
 Waziri Mkuu mstaafu wa zamani, Cleopa Msuya, akimfariji mke wa marehemu Balozi Sir George Kahama, Janeth Kahama, wakati alipofika kutoa pole kwa wanafamilia nyumbani kwa marehemu Mikocheni jijini Dar es Salaam.
 Mbunge wa zamanai, Getrude Mongella, akizungumza jambo na mke wa marehemu, Balozi Sir George Kahama, Mama Janeth Kahama, nyumbani kwa marehemu Mikocheni jijini Dar es Salaa, leo.
 Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete, akizungumza jambo n a Waziri wa zamani wa Sheria na Katiba, Bakari Mwapachu, walipokutana katika msiba wa marehemu Balozi Sir George Kahama Mikocheni jijini Dar es Salaam, leo mchana.
Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete, akizungumza jambo na Salim Ahmed Salim, walipokutana katika msiba wa marehemu Balozi Sir George Kahama Mikocheni jijini Dar es Salaam, leo mchana. Picha na Muhidin Sufiani (MAFOTO)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.