Habari za Punde

WATUHUMIWA WA MAFUTA YA NDEGE ZA ATCL WAPANDISHWA KIZIMBANI

Watuhumiwa wanaodaiwa kuchota mafuta ya ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), waliokaa benchi la mbele wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu juzi ambako walisomewa mashitaka ya kula njama na kuihujumu Serikali.  Picha na Mpiga picha Wetu

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.