PIX3: Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. George Simbachawene na Naibu Katibu Mkuu Afya , Dkt. Zainabu Chaula wakiangalia mfereji wa maji machafu uliopo katika Soko la Mwembeni katika ziara fupi ya kutembelea na kukagua usafi katika maeneo mbalimbali ya mji wa Dodoma.

Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. George Simbachawene
akiongea na waandishi wa habari kuhusu tamko la utekelezaji na ufatiliaji wa
ugonjwa wa Kipindupindu katika Mkoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Ofisini
kwake, Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. George Simbachawene akiambatana na Afisa Masoko Manispaa ya Mji wa Dodoma, Stephen Maufi katika ziara fupi ya kutembelea na kukagua usafi katika maeneo mbalimbali ya mji wa Dodoma.
PIX4: Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. George Simbachawene akifurahia ubunifu wa uhifadhi wa mbogamboga na matunda katika ziara fupi ya kutembelea na kukagua usafi katika maeneo mbalimbali ya mji wa Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. George Simbachawene akizungumza na mmoja wa wafanya biashara katika soko la Mwembeni Bw. Mjahidina Hassani katika ziara fupi ya kutembelea na kukagua usafi katika maeneo mbalimbali ya mji wa Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu Afya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR- TAMISEMI) , Dkt. Zainabu Chaula akisisitiza juu ya Uhamisho wa wafanya biashara ndogo ndogo kwenda Uwanja wa Barafu katika ziara fupi ya kutembelea na kukagua usafi katika maeneo mbalimbali ya mji wa Dodoma.
Picha na: TAMISEMI.
No comments:
Post a Comment