Habari za Punde

WLAC WAADHIMISHA SIKU YA MWANAMKE DUNIANI KWA KUTOA SOMO KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI YA HANANASIKU KUHUSU UKATILI WA KIJINSIA.

 Mwanasheria wa Kituo cha Msaada wa Kisheria kwa Wanawake na Watoto,WLAC, Wigayi Kissandu, akizungumza wakati wa mafunzo maalum kwa Wafunzi wa Shule ya Sekondari ya Hananasifu, kuhusu Ukatili wa KIjinsia kwa ikiwa ni sehemu ya Kituo hicho kuadhimisha siku ya Mwanamke Duniani iliyoadhimishwa duniani kote jana. Kulia ni Mwalimu Mkuu Msaidizi wa shule hiyo, Fatma Niyopa (kushoto) ni Mwanasheria wa Kituohicho, Abia Richard.
 Mwanasheria wa Kituo cha Msaada wa Kisheria kwa Wanawake na Watoto, WLAC, Wigayi Kissandu, akizungumza wakati wa mafunzo maalum kwa Wafunzi wa Shule ya Sekondari ya Hananasifu, kuhusu Ukatili wa Kijinsia kwa ikiwa ni sehemu ya Kituo hicho kuadhimisha siku ya Mwanamke Duniani iliyoadhimishwa duniani kote jana. 
 Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Hananasifu wakimsikiliza mgeni rasmi Mwanasheria wa Kituo cha Msaada wa Kisheria kwa Wanawake na Watoto, WLAC, Wigayi Kissandu.
Mwalimu wa shule hiyo akiwafafanulia jambo wanafunzi hao kuhusu Kituo hicho.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.