Habari za Punde

YANGA YALAZIMISHWA SARE NA ZANACO NYUMBANI 1-1

 Winga wa Yanga Simon Msuva (kulia) akiwatoka mabeki wa Zanaco na kuifungia timu yake bao katika kipindi cha kwanza katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliomalizika hivi karibuni kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar esSalaam. 
Kiungo wa Zanaco Zimiselemi Moyo (katukati) akichuana na Obrey Chirwa wa Yanga (chini) wakati wa mchezo huo. KWA HABARI ZAIDI NA PICHA ZA MTANANGE HUU KAA NASI HAPO BAADAYE

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.