Habari za Punde

YANGA YAUNGANA NA MAHASIMU WAO ROBO FAINALI ZA FA

 Mshambuliaji wa Yanga Emmanuel Martine (kulia) akipiga shuti wakati wa mchezo wa Kombe la FA dhidi ya Kiluvya Utd mchezo uliomalizika hivi punde kweny Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo Yanga wameibuka na ushindi kwa kuitandika Kiluvya mabao 6-1.
 Obrey Chirwa akishangilia moja kati ya mabao yake manne aliyoifungia timu yake hii leo. Baada ya mchezo huo Chirwa alikabidhiwa mpira kwa kupiga Hart Trick.
 Chirwa akiwatoka mabeki wa Kiluvya
Chirwa akikabidhiwa mpira wake baada ya kutupia mabao matatu katika mchezo huo. kwa picha zaidi kaa nasi hapo baadaye.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.