Habari za Punde

ZAKIA MEGHJI AKABIDHI RASMI OFISI KWA DKT. FRANK HAWASSI

Katibu NEC, Uchumi na Fedha wa CCM, aliyemaliza muda wake, Zakia Meghji, akimkabidhi baadhi ya nyaraka za Ofisi Katibu wa Uchumi na fedha mpya, Dkt. Frank Hawassi, wakati wa makabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika leo mchana Ofisi ndogo za CCM Makao Makuu Lumumba jijini Dar es Salaam. Nyuma yao ni baadhi ya wafanyakazi wa Idara hiyo CCM, wakishuhudia. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.