Habari za Punde

ZOEZI LA KUHAKIKI WASTAAFU LAENDELEA VIZURI VIWANJA VYA KARIMJEE

 Mstaafu wa Manispaa ya Temeke wa mwaka 1997,  Rahima Mwingwa, mkazi wa Kigamboni jijini Dar es Salaam, akisaidiwa na msaidizi wake Christina Boniface, kuongozwa baada ya kumaliza kuahikikiwa katika Viwanja vya Karimjee leo. 
Mstaafu wa Idara ya Elimu Kazi wa mwaka 1996 Wizara ya Elimu, Darini Lipegea, mkazi wa Sinza jijini Dar es Salaam,ambaye ni mlemavu wa macho akisaidiwa na msaidizi wake Athuman Ally, kuongozwa kuelekea kuahikikiwa katika Viwanja vya Karimjee leo. 
 Mkaguzi wa Ndani wa Serikali, Everyne Mchome (kushoto) akiwelekeza jambo mmoja wa Wastaafu aliyekuwa akijaza fomu za Uhakiki katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,leo. 
 Mkaguzi wa Ndani wa Serikali, Selina Wangilisasi (kushoto) akimwelekeza jambo mstaafu Rahima Mwingiwa,  aliyekuwa akijaza fomu za Uhakiki katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, jana. Katikati ni msaidizi wa mstaafu huyo,Christina Boniface. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.