Habari za Punde

TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE (JKCI) KWA KUSHIRIKIANA NA TAASISI YA LITTLE HEART YA MJINI LONDON NCHINI UINGEREZA WAFANYA UPASUAJI KWA WATOTO

 Daktari bingwa wa upasuaji wa  Moyo  wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hussein Hassanali (kulia) kwa kushirikiana na mwenzake wa Taasisi ya Healing Little Heart ya mjini London nchini Uingereza Ramana Dhannapuneni (kushoto) wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa kubadilisha mlango wa moyo ambao unamatatizo na kumuwekea mwingine leo katika kambi maalum ya matibabu ya moyo kwa watoto inayoendelea katika Taasisi hiyo. Jumla ya wagonjwa sita wameshafanyiwa upasuaji na hali zao zinaendelea vizuri.
 Madaktari bingwa wa upasuaji wa Moyo  wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Taasisi ya Healing Little Heart ya mjini London nchini Uingereza wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa moyo leo katika kambi maalum ya matibabu ya moyo kwa watoto inayoendelea katika Taasisi hiyo. Jumla ya wagonjwa sita wameshafanyiwa upasuaji na hali zao zinaendelea vizuri. 
Madaktari bingwa wa upasuaji wa Moyo  wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Taasisi ya Healing Little Heart ya mjini London nchini Uingereza wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa moyo leo katika kambi maalum ya matibabu ya moyo kwa watoto inayoendelea katika Taasisi hiyo. Jumla ya wagonjwa sita wameshafanyiwa upasuaji na hali zao zinaendelea vizuri. Picha na Anna Nkinda – JKCI

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.