Habari za Punde

BENKI YA NMB YAWAKUTANISHA WAFANYABIASHARA WA KINONDONI, ILALA NA TEMEKE KUJADILI CHANGAMOTO ZA WAJASILIAMALI

Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Spora Jonathan Liana, akizungumza wakati akifungua rasmi Mkutano wa Klabu ya Wafanyabiashra wa Mkoa wa Dar es Salaam, kutoka Wilaya za Kinondoni, Ilala na Temeke, wa kujadili changamoto wanazopata Wajasiliamali uliofanyika kwenye Ukumbi wa Golden Memorial, uliopo Simnza Mori, leo.
Kaimu Ofisa Mkuu wa Wafanyabiashara wadogo na wakubwa wa Benki ya NMB, Abdulmajid Nsekel, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufungua mkutano huo.
Kaimu Ofisa Mkuu wa Wafanyabiashara wadogo na wakubwa wa Benki ya NMB, Abdulmajid Nsekel, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufungua mkutano huo.
Baadhi ya Viongozi wakiwa meza Kuu.
Mmoja kati yawafanyabiashara alielezea baadhi ya changamoto anazokutana nazo katika biashara zake. KUSOMA ZAIDI NA PICHA BOFYA HAPA

Baadhi ya washiriki wakimsikiliza mgeni rasmi.
Mgeni rasmi akizungumza na baadhi ya viongozi wakati akiondoka ukumbini hapo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.