Habari za Punde

HAJI MANARA NAYE AMFUATA 'MCHIZI WAKEJELA'

*HAJI MANARA AFUNGIWA MIEZI 12 NA FAINI YA SHILINGI MILIONI 9 KWA UTOVU WA NIDHAMU
MSEMAJI  wa Simba Haji Sunday Manara, amefungiwa kutojihusisha na mchezo wa soka kwa muda wa miezi 12 na kutakiwa kulipa faini ya shilingi milioni tisa , kwa utovu wa nidhamu wa kutoa matamshi yasiyo na staha kwa viongozi wa TFF pamoja na vyombo vya uongozi wa mchezo huo. 
Lakini pia Makamu  Mwenyekiti wa kamati ya nidhamu ya TFF Wakili msomi Jerome Msemwa pia amesema Haji Manara anaweza kukata rufaa.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.