Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO, USIOMBE KUKUTANA NA MATEJA HAWA


Mateja wakiwa katika kikao kisicho rasmi kama walivyonaswa na kamera ya Mafoto Blog, katika mtaa wa Mandazi Road Msasani jana, huku mmoja wao akiwa na bonge la Bisu mfuko wa nyuma bila kujua kama linaonekana. Haikuweza kufahamika kama hapa walikuwa wakigawana faida baada ya kazi ama walikuwa wakifanya nini. Huyu mwenye Bisu mfuko inaonekana ndiye mtaalam wa kutaiti na kuchanachana.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.