Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO, BIASHARA NGUMU

Mfanyabiashara wa Dagaa katika Soko la Buguruni Dar es Salaam, akiwa ameuchapa usingizi katika biashara yake kama alivyonaswa na kamera ya Mafoto Blog, wakati akisubiri wateja waliopungua katika soko hilo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.