Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO, KARIBUNI UTUMBO WA KUKU

Kina mama wafanyabiashara wa Kikundi cha Wakamua Utumbo wa Kuku, katika Soko la Mtambani jijini Kinondoni jijini Dar es Salaam, wakiwa bize kuandaa biashara yao ya Miguu, Utumbo na Vichwa vya Kuku kama walivyokutwa na mpiga picha wetu katika Soko hilo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.