Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO, KARIBUNI KAHAWA

'WA HUKO NYUMA KARIBUNI KAHAWA' Muuza Kahawa akiandaa biashara yake ya Kahawa kwa tayari kwenda kuwauzia wateja wake, kama alivyonaswa na kamera ya Mafoto Blog katika mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, jana. Ila wanywaji wa Kahawa hii nahisi watakuwa wanazingatia ubora wa kinywaji tu vingine....wanamuachia mungu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.