Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO, 'MSAFIRI KAFIRI'

Wakazi wa Mvuti nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, wakiwa safarini katika usafiri wa Pikipiki ya magurudumu matatu (Bajaji) pamoja na mizigo wakielekea Mbagala Rangi tatu, kama walivyokutwa na mpiga picha maeneo ya Mbagala Mbande jijini Dar es Salaam, jana. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.