Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOGA MITAANI LEO, KARIBUNI MIIKO


Wafanyabiashara wa miko, Mandia Kiamba (kushoto) na Hamis Zayumba, wakiisawazisha miko yao baada ya kupokea ikiwa tayari imechongwa kutoka mkoani Tabora, ambapo huisawazisha na kuuza kwa wateja wao kama walivyokutwa na mpiga picha jana katika mtaa wa Sikukuu na Agrey jijini Dar es Salaam. Mwiko mmoja mkubwa huuzwa kwa sh. 4000 na mdogo huuzwa kwa Sh. 600 hadi 1000.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.