Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOGMITAANI LEO, KIBAHA PWANI

 Baadhi ya wafanyabiashara wakiwa kwenye vibanda vyao vya biashara katika Soko jipya la Loliondo mjini Kibaha lililohamishwa kutoka Maili Moja. 
Kituo kipya cha daladala cha Loliondo kilichohamishwa kutoka Maili moja Kibaha Pwani.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.