Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOGMITAANI LEO, SIONI MBELE

 'SIONI MBELE' Mfanyabiashara wa Miwa akikokota Toroli lake lililosheheni Miwa kuzidi uwezo kiasi cha kushindwa kuona mbele anakokwenda, kama alivyonaswa na kamera ya Mafoto katika mtaa wa Kitumbini jijini Dar es Salaam, jana. Picha na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
''UNANIPIGA PICHA EEH''

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.