Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO MITAANI LEO, MCHINA HATAKI MCHEZO

Raia wa China akimsaidia kijana kusukuma mkokoteni uliobeba mizigo yake kutoka Godauni kwenda eneo lake la biashara kama alivyonaswa na Kamera ya Mafoto katika Barabara ya Uhuru jijini Dar es Salaam. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.